HomeНовости и политикаRelated VideosMore From: K24TV

Karua apoteza kesi aliyowasilisha kupinga uchaguzi wa Waiguru

Search on top search engines with the PROsearch Chrome extension. You can easily switch on Bing directly from the new tab page. Your search engine selection will let you search from both address bar and the new tab page, and allows you to quickly choose your preferred search engine without any trouble.
SearchPro Install Google Chrome

8 ratings | 2415 views
Mahakama kuu mjini Kerugoya sasa imetupilia mbali kesi iliyowasilishwa na aliyekuwa mbunge wa Gichugu Martha Karua dhidi ya Anne Waiguru kama gavana wa Kirinyaga. Akitoa uamuzi wake, jaji Lucy Gitari amesema Waiguru alichaguliwa kwa njia huru na ya haki, huku akisema ushahidi uliotolewa na karua ulikuwa porojo tu.  Haya yanajiri huku ushindi wa Prof. Anyang Nyong'o kama gavana wa Kisumu pia ukiidhinishwa na mahakama ya rufaa.
Html code for embedding videos on your blog
Text Comments (6)
Bonga Sasa (4 days ago)
Mzee nyongo alikuwa so confident aka lala ndani ya kortini! This mzee rocks
savage pig (5 days ago)
Dont fight with the " Executive bae". Utaangamia bure.
Ummu Nurdin (5 days ago)
Hatajua hajui 😎
Ummu Nurdin (5 days ago)
Duh🙄
Mutua Meshack (5 days ago)
Mmm,,million tatu
betty owiti (5 days ago)
Kazi ipo.....

Would you like to comment?

Join YouTube for a free account, or sign in if you are already a member.