HomeНовости и политикаRelated VideosMore From: K24TV

Kenyatta atangaza watumishi wa umma kuchunguzwa hali yao ya maisha

3 ratings | 834 views
Rais Uhuru Kenyatta amesema kwamba atatangaza kukaguliwa kwa hali ya kimaisha ya maafisa wakuu serikalini, akianza na yeye binafsi. Rais anasema itawalazimu kutangaza wazi walivyojipatia mali yao la sivyo wafungwe. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa barabara ya dongo kundu kaunti ya mombasa, rais aliyemsalimia gavana Joho kwa mikono alidokeza umuhimu wa viongozi kukoma siasa na badala yake kuwatumikia wakenya.
Html code for embedding videos on your blog
Text Comments (1)
Waqooo Aarero (5 days ago)
Ukweli yke mwenye ataipatikana na Mali wa uma yeye mpeke yke ndio ameiba bila shaka ataibeba msilaba yke yeye mwenyewe bwana rais thanks

Would you like to comment?

Join YouTube for a free account, or sign in if you are already a member.