HomeНовости и политикаRelated VideosMore From: K24TV

Kifo cha mwanafunzi wa NIBS : Wahudumu wa matatu anakodaiwa kurushwa wakana kuhusika

Search on top search engines with the PROsearch Chrome extension. You can easily switch on Bing directly from the new tab page. Your search engine selection will let you search from both address bar and the new tab page, and allows you to quickly choose your preferred search engine without any trouble.
SearchPro Install Google Chrome

63 ratings | 23067 views
Magari ya usafiri wa umma kwa jina Zamzam 45 yanayobeba abiria wa mtaa wa Githurai yamewekwa kwenye ramani baada ya madai kwamba wahudumu wa basi moja walimsukuma nje abiria gari likiwa linaendeshwa katika barabara ya Thika na kupelekea kifo cha abiria huyo.   Kulingana na walioshuhudia kisa hicho, abiria huyo kwa jina Doreen Mwiti alizozana na makanga wa basi hilo kwa kupitishwa alikofaa kushuka basi kisha makanga huyo kwa hasira akamsukuma mwanadada huyo mlangoni na kumtupa nje ya basi likiwa mbio maeno ya safari park na kufariki.
Html code for embedding videos on your blog
Text Comments (62)
Annshani Wambua (4 hours ago)
Sio kupenda kwenuni kipenda kwa nini? Punda
Margaret Kamundia (15 hours ago)
Whoever did that will never have peace. Na hizo gari za githu huwa na hizo tabia. Makanga hawana ata adabu
Paulina Nyambura (1 day ago)
Pole???????? Sio dawa!!!!!!!!
Purity purity (1 day ago)
Huyu makanga anakaa vampire
Purity purity (1 day ago)
Pls NIBS offer your students transport services.
am sorry to the family ad to all
very sad at all
Virginia Wamboi (1 day ago)
so sad.it's unfair n lack manners.wachukuliwe hatua.
so sad
Jackline Njeri (1 day ago)
Makanga na madere kuweni kama geoge aliye jitolea kumsaidiya mama mpaka dakika ya mwisho.... sheme on u wale hawana nidhamu
Antony Mwangi (1 day ago)
this zam zam people are supper indesplined mmoja alinigongea gari hapo naivas roaster na wakapotea even their management wanafanana they do anything kuficha ukweli supper idiots
Symon 6363 (2 days ago)
Government should take such cases serious,they should even take those buses!
favoured Alice (2 days ago)
So sad
Hassan Mohamed (2 days ago)
Lawless country...huyo jamaa angukuwa anafinywa makende sahizi atoe Huyo mwenye alimrusha inje....how can this hopeless and useless conductors end the life of a girl with full of life ahead of her
Peach (1 day ago)
that's true, its just sad.
Christine Nzisa (3 days ago)
I was thrown out of hizi zamzam bus nikienda hapo Safari park nilitupwa on that mainroad exactly the same exact place, karibu nichotwe na other cars behind since then sijawahi panda hizo gari ata kama fair haitoshi heri niombe or tarmac half way.
Ana Kuiz (1 day ago)
Christine Nzisa pole dear
karose small (3 days ago)
Hizi basi zinakuwanga na makanga harsh sana.makanga kama ishirini gari moja.nkt
Lucy Ciira (3 days ago)
Yani unasema Pole tu
Mary Njeri (3 days ago)
tugeatia poreni
Kenliks (3 days ago)
We should start training and licensing conductors, a 1 Month course about handling people, otherwise, inexperienced conductors will be killing people over small issues. In the US, even barbers have to be certified, hakuna kunyoa mtu bila training, we should also do the same in Kenya
Ann Njeri (4 days ago)
Ai wamezoea kama mbaya mbaya namalixa uyo makanga kwan
Comrade John (4 days ago)
stupid director
Peter Makori (4 days ago)
To be a conductor isn't a joke , i can remember several scenarios where i had to prevent customers from jumping out of a moving matatu putting my life in danger , Mama na mtoto mdogo wa miezi alifungua mlango akatoa miguu inje ilibidi abiria wanasaidie kumushika 😥😥😥😥😥 hapo ndo ungesikia makanga ametupa mama na mtoto kutoka kwa matatu , anyway rip sister kama ni mtu alimutupa inje sheria ifanye kazi
erick wainaina (4 days ago)
Kill that makanga shit hole!!
Miry Musyoka (4 days ago)
So painfull R.I.P
Elizabeth Wambui (4 days ago)
Not everybody can afford to buy personal car,so pls u drive na makanga wa public bus gv us space we enjoy our going hatuingiangi ngari free we pay and we need respect of that so annoying my goodness
Kisiang'ani Job (4 days ago)
This is very sad indeed!Action should be taken!
Margaret Wambui (5 days ago)
Pole sana kwa familia
Maggy Nish (5 days ago)
OMG Rip gal
Ciru Shish (5 days ago)
These buses should be having only one makanga coz zingine ukingia unakuta makanga ata niwengi kuliko abilia then wamehang Kwanzaa mlango ata hauelewi makanga ni nani u even feel insecure ata wanaeza kukupora kwa mlango
magdaline kamward (5 days ago)
Poleni
githae irungu (5 days ago)
They want to tell us the girl jumped? who opened the door? they must be jailed they know how it happened
githae irungu (5 days ago)
very very sad... these busses at times have over one tout and mostly not uniformed who are rough
ann mbugua (5 days ago)
Before ilikuwa kamau now Doreen 😨😨😨
judith njeri (5 days ago)
Hizi basi huwa zina makanga wawili so watoe huyo mwingine
Ruth Njoroge (5 days ago)
please can our government take charge over our Roads, Hawa makanga wanaumiza watu sana. until when are we going to suffer in this manner??
Annie Njoki (5 days ago)
So painful
karry four (5 days ago)
Polisi wanamtafuta na ndiye huyu hapa. Kama huyu makanga hakumsukuma basi wamtoe aliyefanya hivo
Wyclef Mash (5 days ago)
The government should take over the public transport these criminals should not be allowed to run the industry
Florencewambua Wambua (5 days ago)
So sad.My condolences to the family. R.I.P Doreen.
BREECHING INLET (5 days ago)
Mvuta bangi huyu huoni venye ana inua lips Kama senge, NJOROGE
Binadamu Hachekwi (5 days ago)
Daaaah una sema Pole weweeeeeee
mariah Mariah (5 days ago)
Na venye nimkumbwa
Magdaline Bosibori (5 days ago)
Makanga roho Mbaya hii !!!!!!
Blessd mum. (5 days ago)
Very sad
Snow Ball (5 days ago)
Excuses kama mavi yao
Mpenda Youtube (5 days ago)
Huyo makanga hana certificate of good conduct company isimamie matanga hawataki wakae bench
Josphine Githae (5 days ago)
Wooi it's so painful after bringing up your daughter that much then mtu amuuee just like that .....I wish they do something to change coz it's not the first time and so that it will never be repeated again
ivan kamau (5 days ago)
stupid bus operators,i hate you people,know what you are doing into our roads,this roads are not yours ,see now,you have ruined an innocent soul life now and you are busy denying it,how i hope that you rot in hell...this habit of drug abusers working on our roads should stop
Ummu Nurdin (5 days ago)
Duh
emma ndakala (5 days ago)
Uliua pia wewe wakuue
Daggie Gitau (5 days ago)
soo sad huyo makanga achukuliwe hatua kali.
Korir Joan (5 days ago)
Mwone venye huyo maganga anajitetea stupid ata inakaa tu kumtupa huyo msichana
Maureen Muhonja (5 days ago)
so sad
Jane Ndungu (5 days ago)
Anyongwe huyo makanga
Rhodah Njeri (5 days ago)
So sad kwa familia ya Doreen, God knows everything, heavenly father take control
Jefason Kingy Mrs (5 days ago)
This is very sad,, y dd they do that.
Mutua Meshack (5 days ago)
Kuoza kwa makanga
Micheal Ndirie (5 days ago)
fuck this guy
Shalohm Kenyan (5 days ago)
Rogues in matatus needs to end!! SGR/TRAMS should replace them.
Aggie Paul (5 days ago)
So sad

Would you like to comment?

Join YouTube for a free account, or sign in if you are already a member.